Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Lumumba wanapukutika. Chukua tahadhariChadema mnakaribia kuwa Waganga wa Kienyeji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba wanapukutika. Chukua tahadhariChadema mnakaribia kuwa Waganga wa Kienyeji!
Lumumba ni watu makini bwashee!Lumumba wanapukutika. Chukua tahadhari
NimoniaLumumba ni watu makini bwashee!
Wao wenyewe washaanza kushtuka[emoji2][emoji2]Sasa ni dhahiri wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji tiririka , almost 70% wamevaa barakoa , japo barakoa zingine hazina ule ubora unaostahili .
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wananchi kwa kustuka na kuamua wenyewe kujiepusha na matatizo , namuomba Mungu aweke mkono wake wa ulinzi juu ya vichwa vyao .
Hapa chini naambatanisha mchoro unaoelekeza namna nzuri ya kunawa mikono .
View attachment 1687258
Korona ni vijamafua ambavyo kila kipindi cha mvua kitakuwa kinaibuka na kupotea kiangazi, ni homa ambazo nishaziugua kwa misimu miwili sasa 19/20 na 20/21 hadi mtoto wng wa miaka 2 kapata hizi homa za korona na tumepona tu kwa parasentamoTema mate chini.
Sema ahsante Mungu kwa kunieupusha na korona. Huku ukiendelea kuchukua tahadhari.
Wapumbavu kama wewe mtavaa sana barakoa na hakuna chochote mtakachoweza kubadili, hizo homa za korona zitaendelea kuwepo kwa karne so mnapaswa kujifunza kuishi na nazoYour brain has stoped to work may be try to use your ass to think
Mh na huyo naye unamfahamu?Wewe ni mwendawazimu wa kwanza
Ktk jamii yangu misiba ilikuwepo hata kabla ya hivi vijimafua na haitaisha Leo, so endapo ktk familia yangu tutapata msiba naamini itakuwa si Sababu ya hivyo vijimafua visivyo na madhara yeyoteMsiba soon utatokea kwenye familia yenu ndio utajua kama hayo mafua yapoje soon
Kweli mkuu mda mwingine anakosea sanaa ,sisi hatujawah kutengeneza chanjo hata moja ,Leo anaponda chanjo za wenyew wakati mpaka sasa wajawazito wanapewa chanjo za kuwakinga watoto kutoka kwa hao hao wazunguKuna jamaa mmoja akihutubia hii nchi, mpaka unajiuliza hivi huyu hiyo nafasi aliipataje?
He is the one worst leader ever seen in the history of the universe.