Hongera Waziri wa Afya - Tanzania sasa ni salama

Hongera Waziri wa Afya - Tanzania sasa ni salama

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Sisikii Denguo wala Ebola kunani Tanzania ,au ndio haya magonjwa yameshatoweka au ilikuwa international game over Tz ,kila nikipima naona hii hali sasa hivi hatuioni si kwenye vyombo vya redio wala tv au magazeti.

Mara ikashuka habari ya tezi dume ,jamaa karudi kakanusha kama sio busha ni madudu mengine ,Je ilikuwa ni kupotezwa kwa Watanzania na Escrew ?
 
Back
Top Bottom