mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
mkuu wanashangiria kama wametupiga mkono 😜😜all in all 🐸🐸🐸wanastahiri pongezi nyingiHakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Yanga wanaingia na matokeo ya ushindi mambo yakigeuka lawama kwa Refa.Yanga 2 Simba 1 Refa 1 .
tumepambana na mikia pamoja na refa ila bado mmenunaHakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga tatizo mnaingia na matokeo ya ushindi mambo yakienda ndivyo sivyo lawama kwa Refa pelekeni video Fifatumepambana na mikia pamoja na refa ila bado mmenuna
kwa jinsi ulivyokua popoma siwezi kukuelewesha nenda twitter angalia alichopost john heche urudi hapaYanga tatizo mnaingia na matokeo ya ushindi mambo yakienda ndivyo sivyo lawama kwa Refa pelekeni video Fifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Foul imechezwa nje ya box unawekaje tutaYanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Penalty FCYanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Agalia vizuri mfungaji wa goli la 2 ndala fc kama hajaotea. Usiwe kipofu upande wa pili.Simba mshukuruni refa, ilikuwa mpigwe
Video ipelekwe Fifa ili matokeo yabadilishwe au,,mpira wa miguu haunaga rufaa weweYanga tatizo mnaingia na matokeo ya ushindi mambo yakienda ndivyo sivyo lawama kwa Refa pelekeni video Fifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Heche ni nani katika Soka la Tanzania? Ni kocha,Refa au nani? Usilete siasa katika Kandandakwa jinsi ulivyokua popoma siwezi kukuelewesha nenda twitter angalia alichopost john heche urudi hapa