Hongera Yanga kwa kupambana mziki wa Simba sio mchezo

Hongera Yanga kwa kupambana mziki wa Simba sio mchezo

Tambua mara zote timu inayojigamba kuwa imeshinda kabla mchezo ndiyo iliyoingia na matokeo uwanjani. Rejea mchezo uliosababisha kungo'lewa kwa viti.
 
Ila ilikuwa RED CARD kwa Yondani. Swali, mngeweza kucheza na Simba mkiwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45?

Sent using Jamii Forums mobile app
Redcard ni pale unapomzuia mchezaji kufunga kwa kumchezea faulo wakati akiwa na CLEAR CHANCE mbele ya goli. Sasa hiyo pasi ya kagere ukitazama mpira ulikjwa unaelekea wapi?



Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Yanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali

Sent using Jamii Forums mobile app
We unaonaje ile penati. Halafu tueleze na mjibao wa Mita kama mia tatu hivi
 
Kila kona naona wanamlaumu manul,lkin mwenye makosa pale n mzamiru aliyekuwa anapiga chenga akapoteza mpira. Jamaa akapika shuti la ghafla
Wenye Makosa hawa hapa:

1. Ni Mzazi wa mchezi aliempa jina MAPINDUZI maana kapindua

2. Ni Mapinduzi Balama kwa kupiga shoot kali lililofanya Manula aone upepo mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kuna mziki gani? Yaani vimeo kama kina Manula ndiyo unaona unawachezaji?
Mshukuruni Jonisia,nadhani atakuwa kapata mchumba mshabiki wa mikia maana hajaolewa ndiyo maana kawapa penati na kuua move za Yanga
Nakazia. Hawana Mziki hawa. 😅😅😅😅 Eti Mziki lol.
 
Na wakashukuru kale kamama. Sababu kaliwaokoa sana.
Asee kuna kipindi Yanga tuliwanyang'anya mpira simba tukapanga shambulizi la hatari, ile tunakaribia kwenye kumi na nane kagere alivoona ile ni hatari akakaa chini na hako karefa kakasimamisha ile move. Nilitamani nikatandike makofi hata kupitia TV asee. Nilishangazwa sana na Yale maamuzi
 
Back
Top Bottom