balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Walishajiaminisha Yanga mbovu ndio maana hawaamini walichokiona wameishia kujinunia. Waache kumuamini sana manara mswahili swahili tu yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angetoa tu hiyo kadi kuliko kupindisha sheria! Tunataka haki itendeke kwa afya ya mpira wa Tz! La sivyo UD Songo atatunyanyasa kila msimu!
Na goli la piliKila kona naona wanamlaumu manul,lkin mwenye makosa pale n mzamiru aliyekuwa anapiga chenga akapoteza mpira. Jamaa akapika shuti la ghafla
Redcard ni pale unapomzuia mchezaji kufunga kwa kumchezea faulo wakati akiwa na CLEAR CHANCE mbele ya goli. Sasa hiyo pasi ya kagere ukitazama mpira ulikjwa unaelekea wapi?Ila ilikuwa RED CARD kwa Yondani. Swali, mngeweza kucheza na Simba mkiwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hivyo vichezaji vya magazetini ndo mziki? Pambafu nyieHakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaonaje ile penati. Halafu tueleze na mjibao wa Mita kama mia tatu hiviYanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye Makosa hawa hapa:Kila kona naona wanamlaumu manul,lkin mwenye makosa pale n mzamiru aliyekuwa anapiga chenga akapoteza mpira. Jamaa akapika shuti la ghafla
Nakazia. Hawana Mziki hawa. π π π π Eti Mziki lol.Simba kuna mziki gani? Yaani vimeo kama kina Manula ndiyo unaona unawachezaji?
Mshukuruni Jonisia,nadhani atakuwa kapata mchumba mshabiki wa mikia maana hajaolewa ndiyo maana kawapa penati na kuua move za Yanga
Na wakashukuru kale kamama. Sababu kaliwaokoa sana.Simba mshukuruni refa, ilikuwa mpigwe
πππWalishajiaminisha Yanga mbovu ndio maana hawaamini walichokiona wameishia kujinunia. Waache kumuamini sana manara mswahili swahili tu yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wehu huo Kati ya yanga na Simba Nan alikuwa anaomba game iiishe haraka ??????Hakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Foul imechezwa nje ya box unawekaje tuta
Inawezekana kabisa mkuu. Nami nikuulize swali je nyie mashabiki wa simba kwa yanga ya msimu huu toka umeanza mliamini Yanga ingecheza mpira kama wa jana? So chochote cha wezekana mkuu.Ila ilikuwa RED CARD kwa Yondani. Swali, mngeweza kucheza na Simba mkiwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu ni tag mkuu.Acha wehu huo Kati ya yanga na Simba Nan alikuwa anaomba game iiishe haraka ??????
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee kuna kipindi Yanga tuliwanyang'anya mpira simba tukapanga shambulizi la hatari, ile tunakaribia kwenye kumi na nane kagere alivoona ile ni hatari akakaa chini na hako karefa kakasimamisha ile move. Nilitamani nikatandike makofi hata kupitia TV asee. Nilishangazwa sana na Yale maamuziNa wakashukuru kale kamama. Sababu kaliwaokoa sana.
Simba mliomba game imalizike hata kabla ya dk 10 hivi. Mana hao kina Haruna mida hiyo ndo kwanza wakaanza kupandisha maruhaniAcha wehu huo Kati ya yanga na Simba Nan alikuwa anaomba game iiishe haraka ??????
Sent using Jamii Forums mobile app