Hongera Yanga kwa tamasha la kuwacheka Simba

Hongera Yanga kwa tamasha la kuwacheka Simba

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Habari wakuu.

Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira wa Miguu.
Nikaanza kuipenda Simba nikiwa na miaka 7 Mwaka 2003.

NAOMBA NIWAPONGEZE YANGA KWA KUANDAA TAMASHA LA KUICHEKA SIMBA KWA SABABU ZIFUATAZO.

1. CHANZO KIPYA CHA MAPATO.
Yanga wametumia Fursa kutoka utani WA jadi wa kugawana wake BADALA yake uwe utani WA kuingiza Fedha. Kukodisha ukumbi kama JNICC ni kuingiza Fedha na watazamaji wengi.

2. KUPATA WANACHAMA NA MASHABIKI WAPYA.
yanga watapata mashabiki na WANACHAMA WAPYA kutoka Katika Fani ya uchekeshaji ambao wataweza kulipia Kadi za uanachama na kuongeza idadi ya WANACHAMA Na mashabiki WAPYA

3. KUIONGEZEA UMAARUFU TIMU, BLAND YA YANGA NA KUUTANGAZA.
yanga watapata UMAARUFU zaidi kwa kuteka mitandao na media mbali mbali kwenye siku ya KUICHEKA Simba.

4. KUUZA BIDHAA MBALI MBALI, KUUZA BIDHAA kama scaff, kofia, jersey nk

HONGERA SANA MTANI
KUNI YA AKIBA HUWA INACHEKA INAYO UNGUA....
 
Huu Ukiibwa ujinga mpya litakuwa jina sahihi zaidi.
 
Wachezaji wa Simba wanwshindwa kupiga hata penati kweli.
Penati Tano wanapata tatu tu. Hata Afrika Kusini ilikuwa hivi hivi.

Mchezaji baada ya kukandamiza shuti unadokoa kashuti dhaifu kwa mitindo.

Miguu 12 unashindwa kufunga. Mbona wapinzani wao wanashinda miaka yote ?

Yanga wamefanya kitu kizuri sana kuwacheka Simba.
Ni Wazembe sana.
Miaka yote ni wao tu ndio wanaotolewa kwa penati hadi inaudhi sana kwakweli.
Acha wachekwe sana tu yaani.
 
Back
Top Bottom