The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Kwa matokeo waliyoyapata Yanga jana na aina ya mpira waliocheza ni wazi sasa Yanga baada ya misimu 2 mbele itakua katika daraja moja zaidi ya mtani wake Simba katika michuano ya Kimataifa.
Yanga itanufaika zaidi kwasababu mchakato wake wa mabadiliko ilikwisha kamilika hivyo ni jukumu la Viongozi waliopata dhamana kuongoza klabu kutengeneza jambo kubwa litakalo ishi tofauti na Simba ambao mchakato wa mabadikiko ya Uongozi haujakamilika.