Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello family,

Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC.

Inshallah nguvu moja na upendo

For our country and for sports.

Wadiz
 
Yanga Timu inapambana ina wachezaji wafia timu
 
yanga hongereni!!! mimi ni mwanasimba na mwanachama hai ila yanga inafurahisha sana kwa sasa hata ukitizama mpira wake unavutia uongo mbaya.
kama kawaida yangu leo nawapatia mabinti 3 wa yanga vocha ya elfu tano kila moja wafurahie ushindi wao..HONGERENI YANGA GONGO WAZI, SIMBA NGUVU MOYA!!!
 
Back
Top Bottom