yanga hongereni!!! mimi ni mwanasimba na mwanachama hai ila yanga inafurahisha sana kwa sasa hata ukitizama mpira wake unavutia uongo mbaya.
kama kawaida yangu leo nawapatia mabinti 3 wa yanga vocha ya elfu tano kila moja wafurahie ushindi wao..HONGERENI YANGA GONGO WAZI, SIMBA NGUVU MOYA!!!