Alichokisema ni kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Bahati ikikuangukia siku hiyo basi. Si unaona Timu ya Ureno Kombe la Mabara walivyopiga penalties zao.? Nawapongeza Simba kwa ushindi huo halali kabisa..Mnajipa moyo ....kwani baada ya dakika90 refa aliondoka? Hakuna mechi isiyo na mshindi....afe kipa afe beki!! .....
Poleni ila mtazoea!
Teh! wana simba mnajua kucounter hoja…! japo jamaa limeongea point ila nanyi hoja zenu ni nyoko…🙂
Eti kwani refa aliondoka baada ya dk 90🙂😛
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandishi alichomaanisha ni kwamba kwa ushindi wa matuta dhidi ya timu mliyoibeza ni fedheha kubwa kwa mikia fc. Wengine mlifikia hata hatua ya kutushauri tusipeleke timu uwanjani maana tungekutana na dhahama ya karne, kumbe waapi, watu wenyewe weupe tu! Kwa hakika mlitu-terrorize vya kutosha kabla ya mechi hiyo.Ah ah ah wanatushangaza kujisifia kufungwa....maana refa alitumwa kuwa iwe usiku iwe mchana, Giza au mwanga, mvua au jua ahakikishe anamtambua mbabe. Na kweli alimtambua. Wanaojua kanuni za soka wanatambua njia zaidi ya 3 ya kumpata mbabe ila hawa mahaba yao kwa yanga ni dakika 89-90 tu...
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0.
Mwandishi alichomaanisha ni kwamba kwa ushindi wa matuta dhidi ya timu mliyoibeza ni fedheha kubwa kwa mikia fc. Wengine mlifikia hata hatua ya kutushauri tusipeleke timu uwanjani maana tungekutana na dhahama ya karne, kumbe waapi, watu wenyewe weupe tu! Kwa hakika mlitu-terrorize vya kutosha kabla ya mechi hiyo.
Sasa ligi inaanza, kesho lazima mnaanza kuacha pointi.
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0. Naishukuru sana yanga kweli tuna timu sio ajabu kubaki na kombe mwaka huu. Mchezo Wa jana ambao hata okwi alikubali kwamba yanga ni timu nzuri umeleta heshima mtaani...congrats yanga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga vilaza tuNaipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0. Naishukuru sana yanga kweli tuna timu sio ajabu kubaki na kombe mwaka huu. Mchezo Wa jana ambao hata okwi alikubali kwamba yanga ni timu nzuri umeleta heshima mtaani...congrats yanga!
Sent using Jamii Forums mobile app