Hongera Yanga yangu mpira ni dakika 90 hizo zingine ni kamari

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
558
Reaction score
179
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0. Naishukuru sana yanga kweli tuna timu sio ajabu kubaki na kombe mwaka huu. Mchezo Wa jana ambao hata okwi alikubali kwamba yanga ni timu nzuri umeleta heshima mtaani...congrats yanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajipa moyo ....kwani baada ya dakika90 refa aliondoka? Hakuna mechi isiyo na mshindi....afe kipa afe beki!! .....

Poleni ila mtazoea!
 
Sioni cha kujifariji otherwise utwambie kwamba yanga hawakuhitaji kushinda Jana walihitaji tu sare ya ktofungwa, kitu ambacho sio kweli, kama unaipongeza yanga kwa draw basi ninamashaka mahaba yako kwa yanga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajipa moyo ....kwani baada ya dakika90 refa aliondoka? Hakuna mechi isiyo na mshindi....afe kipa afe beki!! .....

Poleni ila mtazoea!
Alichokisema ni kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Bahati ikikuangukia siku hiyo basi. Si unaona Timu ya Ureno Kombe la Mabara walivyopiga penalties zao.? Nawapongeza Simba kwa ushindi huo halali kabisa..
 
Teh! wana simba mnajua kucounter hoja…! japo jamaa limeongea point ila nanyi hoja zenu ni nyoko…🙂

Eti kwani refa aliondoka baada ya dk 90🙂😛

Sent using Jamii Forums mobile app

Ah ah ah wanatushangaza kujisifia kufungwa....maana refa alitumwa kuwa iwe usiku iwe mchana, Giza au mwanga, mvua au jua ahakikishe anamtambua mbabe. Na kweli alimtambua. Wanaojua kanuni za soka wanatambua njia zaidi ya 3 ya kumpata mbabe ila hawa mahaba yao kwa yanga ni dakika 89-90 tu...
 
Mwandishi alichomaanisha ni kwamba kwa ushindi wa matuta dhidi ya timu mliyoibeza ni fedheha kubwa kwa mikia fc. Wengine mlifikia hata hatua ya kutushauri tusipeleke timu uwanjani maana tungekutana na dhahama ya karne, kumbe waapi, watu wenyewe weupe tu! Kwa hakika mlitu-terrorize vya kutosha kabla ya mechi hiyo.

Sasa ligi inaanza, kesho lazima mnaanza kuacha pointi.
 
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0.

Kwa hiyo waligawana point?
 
Kama kombe la dunia linachukuliwa kwa penalti sembuse hili Karai la Tifutifu, acheni kujipa moyo mlishindwa kila kitu kuanzia umiliki wa mpira hadi kipigo.
 
ht.png
 
Yanga vichwa panzi kabisa. Mkubali kuwa mmefungwa. Hayo mengine ni kutaka kuonewa huruma.
 
Mwandishi alichomaanisha ni kwamba kwa ushindi wa matuta dhidi ya timu mliyoibeza ni fedheha kubwa kwa mikia fc. Wengine mlifikia hata hatua ya kutushauri tusipeleke timu uwanjani maana tungekutana na dhahama ya karne, kumbe waapi, watu wenyewe weupe tu! Kwa hakika mlitu-terrorize vya kutosha kabla ya mechi hiyo.

Sasa ligi inaanza, kesho lazima mnaanza kuacha pointi.
haruna.png
 
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0. Naishukuru sana yanga kweli tuna timu sio ajabu kubaki na kombe mwaka huu. Mchezo Wa jana ambao hata okwi alikubali kwamba yanga ni timu nzuri umeleta heshima mtaani...congrats yanga!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, ulishawahi kucheza mpira hata kidogo maishani mwako? Ule mpira wa juzi Yanga walicheza kwa hofu mwanzoni kwani walikuwa hawajiamini na ndiyo maana walirundikana sana katikati kuzuia mashambulizi ya Simba, hukuliona hili? In short, Yanga ni ya kawaida sana na ndiyo maana inatandikwa tu kama vile mwendawazimu katika mashindano ya kimataifa.
 
Naipongeza sana timu yangu ya yanga kwa mchezo Wa jana. Pamoja na mapito mazito ambayo timu inapitia na kufanya usajili Wa kawaida sana tofauti na nyumba ya pili ambao wamefanya usajili Wa kufulu lakini matokeo ya dakika 90 yalikuwa 0-0. Naishukuru sana yanga kweli tuna timu sio ajabu kubaki na kombe mwaka huu. Mchezo Wa jana ambao hata okwi alikubali kwamba yanga ni timu nzuri umeleta heshima mtaani...congrats yanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga vilaza tu
 
Back
Top Bottom