Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Shukrani mazee.....That's what's up. Hongera babu...
Mr and mRs au???? be fair......I would like to take this opportunity to congs Mr.YE kwa kupata mtoto wa kiume (dume la mbegu) wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.ubarikiwe YE
So far mama,baba na mtoto wote wanaendelea vizuri...welcome to the Parenting club YE...
Binti maringo mtoto ni mtoto tuI would like to take this opportunity to congs Mr.YE kwa kupata mtoto wa kiume (dume la mbegu) wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.ubarikiwe YE
So far mama,baba na mtoto wote wanaendelea vizuri...welcome to the Parenting club YE...
Hongera YE,lakini mimi naomba nitoke off point kidogo.Pamoja na mtoto uliyepata nadhani wewe pia ni celebrity,ningelipenda kujua wa kwenye anga ipi hasa?au wewe ni nani(hii habari ipo kwenye celebrity ndio maana nimeuliza)
big up, mi mwanangu anatimiza mwaka tarehe 24/12/2009. ndio itakuwa happy birthday yake.
big up, mi mwanangu anatimiza mwaka tarehe 24/12/2009. ndio itakuwa happy birthday yake.
LOL!! Jamani kwani watoto wa kike wana tatizo gani? Tumshukuru MUNGU MWENYENZI kwa watoto wa jinsia zote na wala maneno na vitendo vyetu visionyeshe kuwabagua jinsia moja kwa hali yoyote ile.wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.