Hongera YE kwa kupata mtoto

Hongera YE kwa kupata mtoto

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
I would like to take this opportunity to congs Mr.YE kwa kupata mtoto wa kiume (dume la mbegu) wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.ubarikiwe YE

So far mama,baba na mtoto wote wanaendelea vizuri...welcome to the Parenting club YE...
 
big up br..hongera sana usisahau kwenda kushukuru madhabahuni kwa ujio wake
 
Nashukuru sana Binti Maringo na Pdidy.
Madhabahuni atakwenda sana...asanteni!
 
I would like to take this opportunity to congs Mr.YE kwa kupata mtoto wa kiume (dume la mbegu) wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.ubarikiwe YE

So far mama,baba na mtoto wote wanaendelea vizuri...welcome to the Parenting club YE...
Mr and mRs au???? be fair......
 
Hongera sana Mkuu...na Hongera zangu uzipitishe kwa Mama pia.Ni Faraja iliyoje kumpata huyo Muungwana.Nafikiri tutakutana Mgombani maana naona ndio December hii,Bwana Mkubwa akaonje mbege!
 
I would like to take this opportunity to congs Mr.YE kwa kupata mtoto wa kiume (dume la mbegu) wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.ubarikiwe YE

So far mama,baba na mtoto wote wanaendelea vizuri...welcome to the Parenting club YE...
Binti maringo mtoto ni mtoto tu
hongera YE mungu awape afya wewe na familia yako
 
Hongera YE,lakini mimi naomba nitoke off point kidogo.Pamoja na mtoto uliyepata nadhani wewe pia ni celebrity,ningelipenda kujua wa kwenye anga ipi hasa?au wewe ni nani(hii habari ipo kwenye celebrity ndio maana nimeuliza)
 
na mie napenda kujua hapo bwana YE
 
big up, mi mwanangu anatimiza mwaka tarehe 24/12/2009. ndio itakuwa happy birthday yake.
 
wachache sana wanabahatika na mtoto wa kiume.
LOL!! Jamani kwani watoto wa kike wana tatizo gani? Tumshukuru MUNGU MWENYENZI kwa watoto wa jinsia zote na wala maneno na vitendo vyetu visionyeshe kuwabagua jinsia moja kwa hali yoyote ile.
Lastly, nampongeza YE na familia yake kwa kujaaliwa mwana na Mola
 
Back
Top Bottom