PILSNER
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 437
- 755
(hapa inakaaga salamu)
Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria.
Umepeperusha bendera ya Tanzania
====
Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa za Zikomoawards. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mh Gerson Msigwa alikuwa ndie mgeni rasmi aliyeongoza pongezi za kiserikali kwa Wasaani na Wadau wengine.
Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika imefika Serikali rasmi, Na sasa Serikali ya Tanzania imetambua kwamba Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika anatoka Mbutu Block E. Kigamboni.
Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika ni YERICKO YOHANESY NYERERE kutoka TANZANIA.
Sifa na heshima ni za Watanzania!
Idumu Mizimu!