Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hater!Ubingwa kwa fixed games
Andika kwa sauti bana. Mwandiko gani huo?Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.View attachment 2620504
Muendelee na mawazo hayo hayo msiimarishe timu yenu. Muendelee kuwategemea wazee wenu pamoja na Baleke, acha tuendelee na furaha zetu za ubingwa.Ubingwa kwa fixed games
Akishinda Simba haiwi fixedUbingwa kwa fixed games
Bado mwakani mtaandika tena huu utumbo Hadi siku mkikubali kua Yanga ni Bora ndo mtaamka usingizini kusajili timu itayoleta ushindani [emoji2957]Ubingwa kwa fixed games
Kwa kweli wanasimba wote tumeridhishwa na huu ubingwa wa watani zetu Yanga.Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
Ni kweli maana angekuwa Simba asingekuwa na akili nzuri hivoWw Siyo simba
Tuache
Acha chuki simba wenyewe wanawapongeza yanga ww unamawazo yako potofu kama ni fixed ungeweka timu yako nayo wafix uchukue kombeUbingwa kwa fixed games
Matatizo ya akili hayaUbingwa kwa fixed games