Nakupongeza sana Mwl Pendo Matonange(Mrs Manoni,NJ) kuteuliwa kuwa Mkuu wa shule-Tinde Girls High School,MUNGU akubariki na akupe hekima,busara na maarifa ya kuongoza maana umekabiriwa changamoto nyingi,usifanye mambo bila kumshirikisha Mwenyezi MUNGU.