Hongera

Hongera

Manoy

New Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Nakupongeza sana Mwl Pendo Matonange(Mrs Manoni,NJ) kuteuliwa kuwa Mkuu wa shule-Tinde Girls High School,MUNGU akubariki na akupe hekima,busara na maarifa ya kuongoza maana umekabiriwa changamoto nyingi,usifanye mambo bila kumshirikisha Mwenyezi MUNGU.
 
hongera sana mama mwalimu. jiamini,unaweza. usiishie hapo,tafuta elimu,uje kuwa mkuu wa chuo kikuu kimojawapo nchini. sky is no longer the limit,go for the moon!
 
hongera sana mama mwalimu. jiamini,unaweza. usiishie hapo,tafuta elimu,uje kuwa mkuu wa chuo kikuu kimojawapo nchini. sky is no longer the limit,go for the moon!

Kweli kabisa mamaake
nafurahi kuona wanawake
wanavyo chanua siku hizi..
 
Tinde ipi?ya kule Shinyanga?Kuna high school?Hongera zake.
 
Back
Top Bottom