Hongereeni Kenya kwa hili, Mungu Awabariki!

Hongereeni Kenya kwa hili, Mungu Awabariki!

Wanaume wa Kenya wanapokea heavy jobs kutoka kwa wanawake wao mpaka wanaandamanaga hapo ni wanawake wa Kenya waliprotest wanaume walikua wanaona jambo la ajabu sana.

Ndio mana police pale airport walikua wanamwomba coffee asiendeleze attacks.
 
Da kweli wabongo c ni wapuuzi maana kuna mchina kamuua mtanzania kwenye migodi kisa kudai aongezewe hela lkn kimya sisikii chochote aise I hate to be in this poor countries
Nenda kenya mkuu kule ni haki bin haki
 
Bin adam wanafik kweli!....leo hii mtu anatuaminisha unyanyasaji ni jambo baya....juzi tu huyu huyu alishabikia unyanyaswaji wenzie wenye mapenzi kwa wenzao wa jinsia moja, pamoja na wengine wenye matatizo za kibayolojia,saikolojia,viungo za ziada,n.k..........bla..bla..bla..bla!

Sitaki kutaja majina!.....pole pole tutafika tu!
Wengine tupo miaka elfu kenda mbele......wenzetu wengine wapo karne ya pili (AD).

Acheni unafik!
 
Back
Top Bottom