Bin adam wanafik kweli!....leo hii mtu anatuaminisha unyanyasaji ni jambo baya....juzi tu huyu huyu alishabikia unyanyaswaji wenzie wenye mapenzi kwa wenzao wa jinsia moja, pamoja na wengine wenye matatizo za kibayolojia,saikolojia,viungo za ziada,n.k..........bla..bla..bla..bla!
Sitaki kutaja majina!.....pole pole tutafika tu!
Wengine tupo miaka elfu kenda mbele......wenzetu wengine wapo karne ya pili (AD).
Acheni unafik!