Promo au?Wakuu Salaam.
Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze kupata burudani pendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi yakija hayo ma EPL NA UCL bado bei zitakuwa hizohizo za vifurushiWakuu Salaam.
Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze kupata burudani pendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ungekuwa we ndo azam, baada ya kuongeza channel km hzo ungefanyeje kwa upande wa bei?Unahisi yakija hayo ma EPL NA UCL bado bei zitakuwa hizohizo za vifurushi
ungekuwa we ndo azam, baada ya kuongeza channel km hzo ungefanyeje kwa upande wa bei?
Ningeongeza na bei ya vifurushiungekuwa we ndo azam, baada ya kuongeza channel km hzo ungefanyeje kwa upande wa bei?
Kwanini washindwe..!? Unahisi mtaji wao ni mdogokuonyesha EPL na UCL ni gharama sana sidhan kama Asam watafikia hizo gharama
Azam Walipaswa kwanza kuongeza channel zao za michezo. Wamejibebesha mizigo mingi halafu channel zenyewe za michezo ni chache. Mfano kuna mechi za ligi kuu Tanzania bara zinaendelea lakini wanashindwa kuzionesha kutokana na muingiliano wa michuano mbalimbali.Wakuu Salaam.
Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze kupata burudani pendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi bei wanazotoza dstv kwa ajili ya kifurushi chenye premier league na uefa champions league(169000)ni sahihi kabisa?Kwamba hiyo bei ni sawa au wanapiga sana?Na unadhani azam wakirusha the same competitions kwa labda kwa 50000 hawatapata wateja?kuonyesha EPL na UCL ni gharama sana sidhan kama Asam watafikia hizo gharama