mmh hebu rudia tena? benki ya NBC wanastahili sifa hii kweli? Benki ya kipuuzi sana hii hakuna customer care hata kidogo yaani ni wazee tu wamejazana humo ndani wakisukuma vitambi lakini ufanisi hamna.
MAPUNGUFU YA NBC kwa sasa;
1. Hawana CALL CENTRE ya kupokea Complaints/complements za wateja
2. Hawana Mawakala Mtaani (kama ilivyo CRDB, DCB,EQUITY etc.)
3. Wafanyakazi wao weng sijui hawalipwi vizuri (Demotivated) yaani ukiwa na tatizo la kibenki ukaenda kuripot itachukua muda sana kulifanyia kazi.
***Namna wanavyoajiri/kupandisha vyeo na kulipa wafanyakazi wao huenda ndo ikawa chanzo cha utendaji mbovu wa NBC