Napenda hela
Member
- Feb 8, 2025
- 32
- 51
Niende moja kwa moja katika mada,napenda kuchukua fursa hii,Kwa kuwapongeza viongozi wandamiz wa CHADEMA,Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama,
Ni Bora wabaki wachache waliosafi kuliko kubaki wengi mbao sio wasafi, unapotaka kufanya mageuzi msisikilize,inzi,mende,vyura Wala sisimizi,tumia dawa ya rungu kuangamiza,Hata mwenda zake angesikiliza wasaliti au waroho tusingefka hapa tulipo,msimamo ni muhimu kama no reform no election msiyumbishwe na mapandikizi ndani ya chama,ambayo ni waroho wa madaraka,
Wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho,nakumbuka mwenda zake alililamikiwa na baadhi ya watu hasa swala la uvunjaji wa nyumba,lakin Leo tunamkumbuka Barbara zinavyosaidia,angalia matunda ya fly over ubungo,yote ni msimamo usioyumbishwa,fukuzen kabxa sisi wananchi tupo pamoja nanyi,HONGERENI CHADEMA NA MSIMAMO HUO