Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

Mnyika anashinda kidimbwi kwenye pombe huku mwenyekiti wake yuko jela...
 
Umoja wetu ni nguvu yetu Umetuwezesha kuvuka milima na mabonde. Bado twapendana.

Ukitazama nyumba ya pili walichofanyiwa akina Polepole? Sabaya, Makonda, spika na wenzake hawaamini yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…