Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana Engineer Hersi Said maana hatimae zile bahasha zako hazikuisha kwa wakina Ruvu na Mbeya kwanza tuu bali zimevuka mipaka mpaka mitaa ya Msimbazi.