Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most important player.Ila huyu mdaka mishale aliyemfanyia scouting katisha sana
Ha haaa...umetisha Mwananchi.Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana Engineer Hersi Said maana hatimae zile bahasha zako hazikuisha kwa wakina Ruvu na Mbeya kwanza tuu bali zimevuka mipaka mpaka mitaa ya Msimbazi.

GSM kamuonga hata MO ?duu ww kapimwe mkojoNawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana Engineer Hersi Said maana hatimae zile bahasha zako hazikuisha kwa wakina Ruvu na Mbeya kwanza tuu bali zimevuka mipaka mpaka mitaa ya Msimbazi.
Hajificha kolomije
😄😄😄😄😄😄😄👍👍👍Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana Engineer Hersi Said maana hatimae zile bahasha zako hazikuisha kwa wakina Ruvu na Mbeya kwanza tuu bali zimevuka mipaka mpaka mitaa ya Msimbazi.
😄😄😄😄😄😄👍Yanga Round Ya Pili Wanakata Pumzi [emoji1787]
😄😄😄😄😄👍👍👍👍👍"Yanga mzunguko wa pili wata kata pumzi na sisi tutaongoza ligi kama kawaida yetu"
😄😄😄😄👍👍👍👍Koloz wasihangaike kusajili tena fedha zao wawekeze kitengo cha uchunguzi kuwabaini GSM maana wanauwezo Sawa na Real Madrid ila bahasha za GsM ndizo zimepelekea kupotea msimu huu.
Kuna muda niliwasikia mashabiki wa simba wakiimba Jii Esi Emu, Jii Esi Emu!! Mpaka nikashangaa! 😁😁
Inawezekana amekula ban kabla hata ya kuandika hicho alichokusudia kuandika ambacho kingemlisha ban.Hajificha kolomije