Hongereni GSM kwa kuweza kuwanunua Simba match ya leo

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana Engineer Hersi Said maana hatimae zile bahasha zako hazikuisha kwa wakina Ruvu na Mbeya kwanza tuu bali zimevuka mipaka mpaka mitaa ya Msimbazi.
 
Leo mlimpa Aragije. Kaacha penati pale kibu aliangushwa.
 
Wewe ni Shemal...

Rudi Milembe ukaendelea na tiba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na bado
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…