Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Wamesha kutangaza hakuna atakaye kusogelea😂😂😂😂na bado ntakuja tena mie ndo Hedaya
NaamHidaya alimtesa adi Pepe Kale
biashara matangazo au hujuiWamesha kutangaza hakuna atakaye kusogelea
Humjui hidaya weweVimbunga vinatakiwa vipewe majina mabaya ya kutisha kwa kuwa vinatisha na ni hatari. Majina kama shumileta, nsyuka, makhata, kimbunga jini, lusifa, hell, kimbunga kibwengo, joka, na majina mengina mabaya yanatosha. Sasa unaita majina mazuri kama hidaya, hellen, keneth na job, haya ni majina mazuri na hayana madhara, afadhali wangeita mbojo, popobawa na kinyamkera ingeleta maana
Safi sanaKiboko ya Hidaya ni Pasha.
Aitwe hidaya halafu awe na kipini puani, atafyeka mtaa wote. Huwa vinakatika balaa ila harufu ya samaki sasa.Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba.
Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote ni kama kimbunga tu.
Huyu hapa Hidaya mwenyewe na usumbufu wake kwa Pepe KaleeAitwe hidaya halafu awe na kipini puani, atafyeka mtaa wote. Huwa vinakatika balaa ila harufu ya samaki sasa.