Hongereni kamati ya vimbunga kwa kupitisha jina la Hidaya

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba.

Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote ni kama kimbunga tu.
 
Kuna hidaya mmoja jana alihojiwa na chombo kimoja cha habari anajisikiaje kimbunga kupewa jina lake alijibu anajisikia vibaya na aibu, watu wanamuambia amewakosea nini mpaka awaletee vurumai?
 
Kina hidaya wasiwe na wasiwasi imetoka hiyo. Kikitokea kimbunga kingine kitapewa jina jingine
 
Vimbunga vinatakiwa vipewe majina mabaya ya kutisha kwa kuwa vinatisha na ni hatari. Majina kama shumileta, nsyuka, makhata, kimbunga jini, lusifa, hell, kimbunga kibwengo, joka, na majina mengina mabaya yanatosha. Sasa unaita majina mazuri kama hidaya, hellen, keneth na job, haya ni majina mazuri na hayana madhara, afadhali wangeita mbojo, popobawa na kinyamkera ingeleta maana
 
Humjui hidaya wewe
 
Haa
 
Attachments

  • IMG-20240505-WA0070.jpg
    IMG-20240505-WA0070.jpg
    85.8 KB · Views: 3
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba.

Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote ni kama kimbunga tu.
Aitwe hidaya halafu awe na kipini puani, atafyeka mtaa wote. Huwa vinakatika balaa ila harufu ya samaki sasa.
 
Huyu hapa Hidaya mwenyewe na usumbufu wake kwa Pepe Kalee
 
Attachments

  • IMG-20240505-WA0025.jpg
    IMG-20240505-WA0025.jpg
    354.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom