GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.
Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa sana Mikafara ya Hatari na mikubwa mikubwa isiyoelezeka hapa.
Ila Hongereni sana na nawaomba mtunzeni sana Clement Mzize na mwambieni asilewe Sifa kama Wengine kwani naona a bright future Kwake na anazidi tu Kuimarika.
Ya Kesho ( yanayonihusu Chamazi ) na Wazambia siyaongelei leo kwani kuna Upuuzi umefanyika hivyo nasubiria Kesho litokee la Kutokea ili niwanyooshe Wasaliti na Wanafiki tulionao SSC.