Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

Usianze utetezi uchwara,tumekuzidini katika Angle zote,mambo ya ulozi tumemiachieni Makolo FC,wananchi ni football science mwanzo mwisho,ulozi na vitimbi vyake tumemiachieni ,🦁kolo FC🤸🤸😀
Tumemiachieni = unamaanisha nini mkuu, kuwa serious bana
 
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.

Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa sana Mikafara ya Hatari na mikubwa mikubwa isiyoelezeka hapa.

Ila Hongereni sana na nawaomba mtunzeni sana Clement Mzize na mwambieni asilewe Sifa kama Wengine kwani naona a bright future Kwake na anazidi tu Kuimarika.

Ya Kesho ( yanayonihusu Chamazi ) na Wazambia siyaongelei leo kwani kuna Upuuzi umefanyika hivyo nasubiria Kesho litokee la Kutokea ili niwanyooshe Wasaliti na Wanafiki tulionao SSC.
hizo timu ulizotaja hapo tukipangwa nazo makundi tunalamba points zote 18....demn shi..t
 
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.

Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa sana Mikafara ya Hatari na mikubwa mikubwa isiyoelezeka hapa.

Ila Hongereni sana na nawaomba mtunzeni sana Clement Mzize na mwambieni asilewe Sifa kama Wengine kwani naona a bright future Kwake na anazidi tu Kuimarika.

Ya Kesho ( yanayonihusu Chamazi ) na Wazambia siyaongelei leo kwani kuna Upuuzi umefanyika hivyo nasubiria Kesho litokee la Kutokea ili niwanyooshe Wasaliti na Wanafiki tulionao SSC.
ushauri huu hamtakiwi kutupatia ninyi, yafaa tupokee toka kwa watu wenye kiwango bora kama sisi. yanga sasaivi ipo juu kila timu africa inaiogopa. huu ndio ukweli. simba yafaa mjipange msije kututia aibu.
 
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.

Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa sana Mikafara ya Hatari na mikubwa mikubwa isiyoelezeka hapa.

Ila Hongereni sana na nawaomba mtunzeni sana Clement Mzize na mwambieni asilewe Sifa kama Wengine kwani naona a bright future Kwake na anazidi tu Kuimarika.

Ya Kesho ( yanayonihusu Chamazi ) na Wazambia siyaongelei leo kwani kuna Upuuzi umefanyika hivyo nasubiria Kesho litokee la Kutokea ili niwanyooshe Wasaliti na Wanafiki tulionao SSC.
Mpaka sasa aliye bahatisha kaonekana na uzuri nyie wenyewe humu mmeanza kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom