Kenya 2022 Hongereni Kwaya ya Mtakatifu Kizito kwa kualikwa na Tume ya Uchaguzi Kenya, mmeifanya Tanzania kuwa Baraka!

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine

Mungu ni mwema wakati wote
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
 
Bwashee, hiyo kwaya ya Mtakatifu Kizito inatoka Mbezi Beach, au ni ya pale Makuburi kwenye Kanisa la Mwenye Heri Annuarite?

Nilikuwa nasali pale wakati huo nasoma UDSM, halafu nakaa Mabibo Hostel Block D.
 
Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?
Only in Tanzania. Wagombea kutoka upinzani pekee ndiyo wanaokosea kujaza fomu! Ndiyo wanao enguliwa! Huku wale wa CCM pekee wakipita bila kupingwa.

Wakati fulani mgombea anarejesha fomu, Mkurugenzi wa Halmashauri anatokea mlango wa nyuma! Halafu mgombea huyo anaenguliwa, na yule wa ccm anapita bila ya kupingwa!

Au mgombea wa upinzani anaporwa fomu za maombi ya kugombea na wahuni kutoka chama tawala! Halafu ananyimwa fomu nyingine! Na mwisho mgombea wa ccm anapitishwa kuwa Mbunge/Diwani pasipo kupingwa!!

Kiukweli Watanzania ni zaidi ya 🐄!! Yaani ujinga wote huu unafanyika, sisi tunaangalia tu!
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine

Mungu ni mwema wakati wote
Kuna mix up hapa. Mbezi beach wana Parokia ya Mt Kizito, lakini kwaya yao haina umaarufu.

Parokia ya RC Makuburi Ina Kwaya inayoitwa Mt Kizito na ndiyo moja kati ya kwaya tatu maarufu Tanzania kwa sasa. Wameimba nyimbo kama: 1. Mimina Neema, 2. Yesu ni mwema 3. Ukuu wa Yesu
.

Kwa kuwa Mimi ni Mkatoliki niliye deep na mambo ya kanisa natamka kuwa iliyoalikwa Kenya kwenye uchaguzi ni Kwaya ya Mt Kizito ya Makuburi parish
 
Mkuu,
Huwa siendi kanisani.. Hii habari ilinipa moyo nijitutumue wikendi ijayo niende hapo Mt. Kizito maana ni kama mita 200 toka hapa napoishi ila hii comment yako imentia uvivu tena!
[emoji16][emoji16]
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mbezi Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Ni mabibo makuburi, sio mbezi makuburi..
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Kwababu mbatumia uchawi ccm, dadeki!
 
Back
Top Bottom