Kenya 2022 Hongereni Kwaya ya Mtakatifu Kizito kwa kualikwa na Tume ya Uchaguzi Kenya, mmeifanya Tanzania kuwa Baraka!

Kenya 2022 General Election
Wewe unatakiwa kukamatwa na kunyongwa. Ulishiriki dhuruma za Magufuli kwa Ndugu yetu Erick Kabendera. Ipo siku wewe au familia yako watalipa machozi ya Erick kwa kutomzika mama yake. Usipotubu hadharani una muda mchache sana wa kuwepo.
Mwambie ukweli huyo ndezi!
 
Japo siasa na dini haviivi chungu kimoja bila ya unafiki ila kwaya ya mtakatifu kizito ni kwaya bora kwa kiasi chake kwa kanisa katoliki hapa Tanzania, wapewe hongera Sana.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Kualikwa Kwaya ya Katoliki Mt. Kizito ulikua ujumbe mzito kwa Dr Ruto. Pole yake.
 
Mtakatifu kizito?
Huyo ni mmoja wa mashahidi wafia dini wa Uganda waliochomwa kwenye tanuri la moto huku wakiwa wanajiona, kwenye karne ya 19 (1800's) na Kabaka wa wakati huo wa Buganda Kingdom!

Na walichomwa baada ya kukataa kuikana imani yao ya Kikatoliki, waliyoipokea kutoka kwa Wamisionari. Baadhi ya mashahidi wengine ambao baadaye walifanywa kuwa Watakatifu ni Mathias Mulumba, Andrea Kagwa, Karol Lwanga, nk.

Tumsifu Yesu Kristu...... Milele Amina
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Wana wimbo wao unaitwa Tunakuja Kenya. Ukiutafuta youtube utaupata. Ndani yake umeeleza kila kitu.

Kimsingi walienda kuhamasisha amani, na kuiepusha nchi na yale machafuko ya uchaguzi wa mwaka 2017, kupitia uimbaji!

Kwa nini Mt. Kizito Makuburi? Ni kwa sababu Wakristu wengi wa Kenya kutoka dhehebu la RC ni wapenzi wakubwa wa nyimbo zilizotungwa na watunzi kutoka Tanzania.

Lakini pia wanazikubali sana kwaya nyingi za Kitanzania, ikiwemo hii ya Mt. Kizito. Thats why wakaamua kuwaalika kwenye hilo tamasha la kuombea amani wakati wa uchaguzi.
 
Asante Mkuu Tate Mkuu, data za kushiba hizi.
Thanks.

Hakunaga Waislam huko Kenya?
 
Huyo ni mmoja wa mashahidi wafia dini wa Uganda waliochomwa kwenye tanuri la moto huku wakiwa wanajiona, kwenye karne ya 19 (1800's) na Kabaka wa wakati huo wa Buganda Kingdom!

Na walichomwa baada ya kukataa kuikana imani yao ya Kikatoliki, waliyoipokea kutoka kwa Wamisionari. Baadhi ya mashahidi wengine ambao baadaye walifanywa kuwa Watakatifu ni Mathias Mulumba, Charles Kagwa, Karol Lwanga, nk.

Tumsifu Yesu Kristu...... Milele Amina
Pia kwa kuongezea Mt .Kizito ndiye alikuwa na umri mdogo kuliko mashahidi wengine wote waliochomwa moto.Wakati wanachomwa moto alikuwa na miaka 14 tu.
 
Kwa kuwa Mimi ni Mkatoliki niliye deep na mambo ya kanisa natamka kuwa iliyoalikwa Kenya kwenye uchaguzi ni Kwaya ya Mt Kizito ya Makuburi parish
huu mwandiko mbona kama wa genta aka popoma kwa kupitia moja ya username zake za dharula?.
 
Labda coincidence tu ya mwandiko, Mimi ni mtu separate kabisa Sina uhusiano na huyo
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine

Mungu ni mwema wakati wote
Hivi Kaswida hazikuwepo pale Bomas!!??
 
Huyo ni mmoja wa mashahidi wafia dini wa Uganda waliochomwa kwenye tanuri la moto huku wakiwa wanajiona, kwenye karne ya 19 (1800's) na Kabaka wa wakati huo wa Buganda Kingdom!

Na walichomwa baada ya kukataa kuikana imani yao ya Kikatoliki, waliyoipokea kutoka kwa Wamisionari. Baadhi ya mashahidi wengine ambao baadaye walifanywa kuwa Watakatifu ni Mathias Mulumba, Charles Kagwa, Karol Lwanga, nk.

Tumsifu Yesu Kristu...... Milele Amina
Umefafanua vizuri mkuu. Ni Andrea Kagwa na si Charles Kagwa.
 
Back
Top Bottom