johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Bwashee, hiyo kwaya ya Mtakatifu Kizito inatoka Mbezi Beach, au ni ya pale Makuburi kwenye Kanisa la Mwenye Heri Annuarite?Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Only in Tanzania. Wagombea kutoka upinzani pekee ndiyo wanaokosea kujaza fomu! Ndiyo wanao enguliwa! Huku wale wa CCM pekee wakipita bila kupingwa.Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?
Kuna mix up hapa. Mbezi beach wana Parokia ya Mt Kizito, lakini kwaya yao haina umaarufu.Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mbezi beach nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Kuna mix up hapa. Mbezi beach wana Parokia ya Mt Kizito, lakini kwaya yao haina umaarufu.
Parokia ya RC Makuburi Ina Kwaya inayoitwa Mt Kizito na ndiyo moja kati ya kwaya tatu maarufu Tanzania kwa sasa. Wameimba nyimbo kama: 1. Mimina Neema, 2. Yesu ni mwema 3. Ukuu wa Yesu
.
Kwa kuwa Mimi ni Mkatoliki niliye deep na mambo ya kanisa natamka kuwa iliyoalikwa Kenya kwenye uchaguzi ni Kwaya ya Mt Kizito ya Makuburi parish
Ni mabibo makuburi, sio mbezi makuburi..Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mbezi Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.
Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
asanteNi mabibo makuburi, sio mbezi makuburi..
miaka gani?. Mimi nimeishi Mabibo hostel 4 years 2003-2007.Nilikuwa nasali pale wakati huo nasoma UDSM, halafu nakaa Mabibo Hostel Block D.
Hebu uliza haya majinga!Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?
Kenya hawana Ujinga huo.Huko Kenya kuna mgombea aliyeenguliwa? Hivi kuna aliyepita bila kupingwa?
Kwababu mbatumia uchawi ccm, dadeki!Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.
Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P