Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari zenu wapambanaji wenzangu wote ..
Dhumuni la uzi huu nikuwapongeza wote vijana na watu wanzima mnaopambana kwa nguvu zenu wenyewe bila msaada kwa ndugu za marafiki.
Kweli hali ni ngumu sana ila tusikate tamaa maana matunda yapo mbele nayaona kabisa..
Tusikate tamaa tupambane mpaka tone la mwisho,maisha ndo haya haya hakuna maisha mengine tena.
Tupambane kama hakuna kesho.
Pia tukumbuke kufurahi,kwa vibia viwili vitatu na wale wenzangu wa kaya tuchome pia..
Mwisho wa week tufurahie maisha bwana maana tunajituma au sio??
Wale wenzentu wa kuchakata mbususa tupige ila sio sana ama vipi wazee??
Tukipata pesa tuwekeze..
Ni hayo tuu..