Hongereni Majimaji kwa kurejea Ligi Kuu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Sina mengi zaidi ya kuwapongeza. Nyinyi ni kioo cha mkoa wetu wa Ruvuma kimichezo hasa kandanda. Majimaji mmepambana vya kutosha hatimaye mmerejea Ligi Kuu. Tunatarajia ushindani katika mapambano yenu hapo mwakani katika ligi kuu.

Msengwi sana valongo vangu!
 
Wamepanda ndio, ila wasirudie mchezo wao walioufanya msimu ule wao na Polisi Dodoma kujitoa kwenye ligi ili Yanga wawe bingwa
 
Simba na Yanga zitawashusha daraja tena hawa wakubwa wanasema Songea ni mbali hapafai kuchezwa ligi halafu hakuna ndege inaenda Songea.
 
Nilitamani sana Wanyalukolo warejee ligi kuu...

Hata hivyo hongera kwa Wanalizombe...
 
itashuka mwakani Nchimbi atakapokosa ubunge mwaka huu,anawafadhili kila kitu na ela za kuhonga marefa anawapa,

kwa kifupi kupanda kwao daraja kumelazimishwa kama yaliyotokea kwa stend utd ni mambo ya siasa hakuna mpira wala nini.
 
Tumepanda rasmi baada ya Leo kumpiga kimondo goli moja bila.

We are going to stay
 
itashuka mwakani Nchimbi atakapokosa ubunge mwaka huu,anawafadhili kila kitu na ela za kuhonga marefa anawapa,

kwa kifupi kupanda kwao daraja kumelazimishwa kama yaliyotokea kwa stend utd ni mambo ya siasa hakuna mpira wala nini.

Vaa miwani usione gere.

Peleka malalamiko ya kuhonga marefa kwa malinzi.
 
Simba na Yanga zitawashusha daraja tena hawa wakubwa wanasema Songea ni mbali hapafai kuchezwa ligi halafu hakuna ndege inaenda Songea.

Simba mwenyewe anashuka daraja,Ndo atamshusha majimaji?

We are going to stay, .

You can quote me on that
 
Usengwileeeee,

Tunahitaji pia support yenu mlioko mbali na huku!! Hasa kisheria!!
 
Ila ruvuma ramani imekaa vibaya kutokea dar
 
mkuu deo kumbe wakunyumba,,!?... Usengwile wanalizombe,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…