Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Sina mengi zaidi ya kuwapongeza. Nyinyi ni kioo cha mkoa wetu wa Ruvuma kimichezo hasa kandanda. Majimaji mmepambana vya kutosha hatimaye mmerejea Ligi Kuu. Tunatarajia ushindani katika mapambano yenu hapo mwakani katika ligi kuu.
Msengwi sana valongo vangu!
Msengwi sana valongo vangu!