GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu.
Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni...
1. Waaminifu na Wakweli
2. Siyo Waoga
3. Wapambanaji
4. Wanapenda Kazi
5. Siyo Wanafiki
6. Majasiri Kiasili
7. Wamebarikiwa mno Akili (IQ)
Hongereni sana Marais wa Tanzania kwa kuendelea Kutuheshimisha Mkoa wa Mara (Musoma) na kwa Niaba ya Wana Poti (wana Mara) wote wa hapa JamiiForums nasema Akhsante Kwako Rais Samia na kamwe wana Mara hatutokuangusha katika Majukumu yoyote yale ya Kimedani (za Taasisi Nyeti) nchini na tunakuhakikishia Rais Samia kwakuwa Mkoa wa Mara (Musoma) ndiyo umeleta Uhuru wa Nchi hii kwa kupitia Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere basi nasi tutakulinda na tutailinda Tanzania yetu (yako) hii daima. Tunakupenda mno Mama (Rais) Samia na GENTAMYCINE nasema Kwako tena Asante.
Mwisho nikupongeze pia Rais na Marais wengine Wote wa Tanzania kwa kutopoteza muda Wenu na Kuwateua katika Nafasi hizo (hizi) Nyeti Watu wa Kagera (Wahaya), wa Singida (Wanyaturu na Wanyiramba), wa Kigoma (Waha), wa Mwanza (Wakerewe na Wakara), wa Dodoma (Warangi) na wa Tabora (Wanyamwezi) kwani hawa ukiachia mbali tu kuwa ni Washamba (Mambwiga) Kiasili lakini pia ni Waoga, Wavivu na hizi Kazi za 'Kimedani' hawaziwezi kabisa.
Watani mpooooo.......kama nawaona!