Hongereni mashabiki na viongozi wa Simba

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za weekend wadau wa soka na mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla. Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya mchezo wa final ya kwanza ya Caf confederation cup pale taifa leo tukumbushane matukio yasiyo ya kiuungwana yaliyowahi kufanywa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa Yanga.

Ikiwa Leo ni siku ya mechi ya fainali ya Caf confederation cup first leg dhidi ya Young African na Usm Alger katika dimba la Benjamin William Mkapa jijini Dar es Salam majira ya saa 10 jioni.

Kumekuwa na mazoea ya Simba kuwaombea mabaya Yanga na Yanga kuiombea mabaya Simba pindi zinapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa na katika mechi za nyumbani pia, ila hali imekuwa tofauti kwa Simba kwa kuwa na utulivu na kuacha mambo yaende kama yalivyopanga ila sio kwa fitna za nje ya uwanja.

Nawapongeza simba kwa mambo ya yafuatayo:–

1. Hawajaenda airport kuwapokea wageni waliokuja kucheza na yanga.

2. Viongozi wa Simba hawajaonyesha ishara yoyote ya kuwapa support wageni kama alivyofanya Manara na Eng. Hersi walivaa mpaka jezi za wapinzani na kuwapokea.

3. Viongozi wa Simba hawaja toa sifa mbaya kwa Yanga ikumbukwe viongozi wa yanga na mashabiki wake walikuwa wanaeneza propaganda kwamba Simba inapulizia dawa vyumbani tena mpaka yule aliyekuwa msemajia wake alipost waraka mrefu kuhusu simba.

4. Utulivu wa viongozi na mashabiki wa Simba kuelekea mechi hii ni mkubwa sana ukilinganisha hali ilivyokuwa kipindi Yanga hawashiriki mashindano haya walikuwa wanakesha pale airport na kutukana mitandaoni pamoja na kueneza mitandaoni.

5. Mashabiki wa Simba kuipa support Yanga inapocheza mechi za kimataifa kama ilivyoonekana kwenye mitandao mbali mbali hali ilivyokuwa kule South Africa walipewa support ya kutosha ila hilo ni tofauti kwa Yanga wao huwapa support wageni.

6. Kupongezwa na viongozi na baadhi ya mashabiki wa simba kama tulivyoona kwa Mo Dewji alivyofanya baada ya Yanga kutinga fainali ila kwa Yanga ni tofauti sana.

7. Juzi tu hapa kijana aliyekuwa na weledi na moja kati wa chambuzi bora wanaochipukia alipomtukana na kumdhihaki kocha msaidizi wa Simba bila sababu za msingi mpaka akaamua kuomba msamaha ila mashabiki na viongozi wa Simba hawana muda huo kweli nimeamini ukiwa yanga tu akili zinaruka automatically.

8. Mashabiki na viongozi wa Yanga kutumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kwamba Simba hawakucheza Caf champions league final bali yanga ndio team ya kwanza kutoka Tanzania kucheza final wakati simba ilishacheza miaka 30 iliyopita.

NB: Mashabiki na viongozi wa Yanga acheni roho mbaya.

Mwisho wa kunukuu.
 
Habari za weekend wadau wa soka na mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na east Africa kwa ujumla. Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya mchezo wa final ya kwanza ya Caf confederation cup pale taifa leo tukumbushane matukio yasiyo ya kiuungwana yaliyowahi kufanywa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa yanga.

Ikiwa Leo ni siku ya mechi ya fainali ya Caf confederation cup first leg dhidi ya young African na Usm alger katika dimba la Benjamin william mkapa jijini dar es Salam majira ya saa 10 jioni.

Kumekuwa na mazoea ya simba kuwaombea mabaya yanga na yanga kuiombea mabaya simba pindi zinapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa na katika mechi za nyumbani pia ila hali imekuwa tofauti kwa simba kwa kuwa na utulivu na kuacha mambo yaende kama yalivyopanga ila sio kwa fitna za nje ya uwanja.

Nawapongeza simba kwa mambo ya yafuatayo:–

1.Hawajaenda airport kuwapokea wageni waliokuja kucheza na yanga.

2.viongozi wa simba hawajaonyesha ishara yoyote ya kuwapa support wageni kama alivyofanya manara na engineer hersi walivaa mpaka jezi za wapinzani na kuwapokea.

3.viongozi wa simba hawaja toa sifa mbaya kwa yanga ikumbukwe viongozi wa yanga na mashabiki wake walikuwa wanaeneza propaganda kwamba simba inapulizia dawa vyumbani tena mpaka yule aliyekuwa msemajia wake alipost waraka mrefu kuhusu simba.

4.Utulivu wa viongozi na mashabiki wa simba kuelekea mechi hii ni mkubwa sana ukilinganisha hali ilivyokuwa kipindi yanga hawashiriki mashindano haya walikuwa wanakesha pale airport na kutukana mitandaoni pamoja na kueneza mitandaoni.

5.mashabiki wa simba kuipa support yanga inapocheza mechi za kimataifa kama ilivyoonekana kwenye mitandao mbali mbali hali ilivyokuwa kule sauz Africa walipewa support ya kutosha ila hilo ni tofauti kwa yanga wao huwapa support wageni.

6.kupongezwa na viongozi na baadhi ya mashabiki wa simba kama tulivyoona kwa mo dewji alivyofanya baada ya yanga kutinga fainali ila kwa yanga ni tofauti sana.

7 ni juzi tu hapa kijana aliyekuwa na weledi na moja kati wa chambuzi bora wanaochipukia alipomtukana na kumdhihaki kocha msaidizi wa simba bila sababu za msingi mpaka akaamua kuomba msamaha ila mashabiki na viongozi wa simba hawana mda huo kweli nimeamini ukiwa yanga tu akili zinaruka automatically.

8.mashabiki na viongozi wa yanga kutumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kwamba simba hawakucheza Caf champions league final bali yanga ndio team ya kwanza kutoka Tanzania kucheza final wakati simba ilishacheza miaka 30 iliyopita.

NB: Mashabiki na viongozi wa yanga acheni roho mbaya.

Mwisho wa kunukuu.
Michango ya Fei Toto imefikia wapi? Leo tar 28( cku ya Finali) msemaji wa Shimbwa alitutangazia ndio siku yenu na jambo lenu na Fei.... au hujamuelewa....

Ndg Rage ajengewe mnara kwa kweli!
 
Sababu inayofanya
msi retaliate ni moja tu. YOUNG AFRICANS S.C is UNSTOPPABLE.
 
Michango ya Fei Toto imefikia wapi? Leo tar 28( cku ya Finali) msemaji wa Shimbwa alitutangazia ndio siku yenu na jambo lenu na Fei.... au hujamuelewa....

Ndg Rage ajengewe mnara kwa kweli!
Wenye akili yanga ni wawili tu
 
𝑺𝒂𝒔𝒂 𝑺𝒊𝒎𝒃𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒉𝒖𝒔𝒊𝒌𝒂𝒋𝒆 𝒏𝒂 𝒉𝒊𝒊 𝒎𝒆𝒄𝒉𝒊 𝒚𝒂 𝒍𝒆𝒐..?
 
Habari za weekend wadau wa soka na mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na east Africa kwa ujumla. Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya mchezo wa final ya kwanza ya Caf confederation cup pale taifa leo tukumbushane matukio yasiyo ya kiuungwana yaliyowahi kufanywa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa yanga.

Ikiwa Leo ni siku ya mechi ya fainali ya Caf confederation cup first leg dhidi ya young African na Usm alger katika dimba la Benjamin william mkapa jijini dar es Salam majira ya saa 10 jioni.

Kumekuwa na mazoea ya simba kuwaombea mabaya yanga na yanga kuiombea mabaya simba pindi zinapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa na katika mechi za nyumbani pia ila hali imekuwa tofauti kwa simba kwa kuwa na utulivu na kuacha mambo yaende kama yalivyopanga ila sio kwa fitna za nje ya uwanja.

Nawapongeza simba kwa mambo ya yafuatayo:–

1.Hawajaenda airport kuwapokea wageni waliokuja kucheza na yanga.

2.viongozi wa simba hawajaonyesha ishara yoyote ya kuwapa support wageni kama alivyofanya manara na engineer hersi walivaa mpaka jezi za wapinzani na kuwapokea.

3.viongozi wa simba hawaja toa sifa mbaya kwa yanga ikumbukwe viongozi wa yanga na mashabiki wake walikuwa wanaeneza propaganda kwamba simba inapulizia dawa vyumbani tena mpaka yule aliyekuwa msemajia wake alipost waraka mrefu kuhusu simba.

4.Utulivu wa viongozi na mashabiki wa simba kuelekea mechi hii ni mkubwa sana ukilinganisha hali ilivyokuwa kipindi yanga hawashiriki mashindano haya walikuwa wanakesha pale airport na kutukana mitandaoni pamoja na kueneza mitandaoni.

5.mashabiki wa simba kuipa support yanga inapocheza mechi za kimataifa kama ilivyoonekana kwenye mitandao mbali mbali hali ilivyokuwa kule sauz Africa walipewa support ya kutosha ila hilo ni tofauti kwa yanga wao huwapa support wageni.

6.kupongezwa na viongozi na baadhi ya mashabiki wa simba kama tulivyoona kwa mo dewji alivyofanya baada ya yanga kutinga fainali ila kwa yanga ni tofauti sana.

7 ni juzi tu hapa kijana aliyekuwa na weledi na moja kati wa chambuzi bora wanaochipukia alipomtukana na kumdhihaki kocha msaidizi wa simba bila sababu za msingi mpaka akaamua kuomba msamaha ila mashabiki na viongozi wa simba hawana mda huo kweli nimeamini ukiwa yanga tu akili zinaruka automatically.

8.mashabiki na viongozi wa yanga kutumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kwamba simba hawakucheza Caf champions league final bali yanga ndio team ya kwanza kutoka Tanzania kucheza final wakati simba ilishacheza miaka 30 iliyopita.

NB: Mashabiki na viongozi wa yanga acheni roho mbaya.

Mwisho wa kunukuu.
Sasa mtoa post huu msimu kuna hata kolo mwenye energy ya kwenda airport...ki ufupi mmekatwa mkia
 
𝑺𝒂𝒔𝒂 𝑺𝒊𝒎𝒃𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒉𝒖𝒔𝒊𝒌𝒂𝒋𝒆 𝒏𝒂 𝒉𝒊𝒊 𝒎𝒆𝒄𝒉𝒊 𝒚𝒂 𝒍𝒆𝒐..?
Kwani yanga alikuwa anahusikaje na mechi za simba.
 
Back
Top Bottom