Hongereni mashabiki na viongozi wa Simba

Hongereni mashabiki na viongozi wa Simba

Fainali ni mechi mbili, moja tayari bado moja. Yanga anauwezo wa kushinda popote.
"Yanga ana uwezo wa kushinda popote" lakini ameshindwa kushinda nyumbani!!!
Kweli Usimba na Uyanga unatupumbaza Watanzania na kudumaza uwezo wetu wa kutumia ubongo vyema.
Fainali ni mechi mbili, moja tayari bado moja. Yanga anauwezo wa kushinda popote.
 
Back
Top Bottom