Hongereni mlioihujumu Simba jana, fanyeni hivyo na Azam pia Jumanne

KOLO MOJA LIMESIKIKA LIKISEMA
 
Amka toka usingizini, hatuna timu mkuu. Wale Raja ni maji marefu kwetu
 
KUPATAAA VICHEKESHO KAMA HIVI ANDIKA NENOOO ZUWENAAMONDI KWENDA NAMBA 557717
 
Tanzania hakuna mpira bwana tuache longolongo , simba hana wachezaji bhana tunaongopeana nini sasa mpira wa Tanzania maneno m3ngi promo kibao afu hakuna lolote. Wekeza kwenye Muziki labda ndo naona vijana wanajituma. Uku kwenye mpira tubaki na ndondo cup over.
Kitu kingine Uteuzi wa wasimamiz wa sanaa na michezo sijui kama huyu kacheza ata lende😁😁
 
Nakubaliana na wewe kwa [emoji817]
 
Siku Makolo fc mtakubali hamna timu ya ushindani ndo mtaamka! Kwasasa mbumbumbu fc aka Zuwena mmelala usingizi WA pono! Fo fo fo! Mtaendelea kupigwa kama Ngoma hadi mfukuzane wote kocha, wachezaji na Mo mwenyewe!

Ona Leo Kisinda alivyopigilia msumari wa mwisho na kukata pumzi ya Mazembe! Hii ndo Yanga Nyie Simba kazi lawama na uchawi tu kurudisha bus kinyumenyume Sasa jumanne hamtoki kwa Azam Wana mizuka kama yote watafumua mishono ya Horoya na Raja!!

Mi kama kawaida nimekaa paleeee kwenye chimbo langu!! Nawa-zoom tu!!

Matusi yanaruhusiwa! Ila Makolo fc mkitaka kunipiga makonde na upper cut zenu sijui Ndoige ngumi jiwe ukienda kushoto unakutana nayo kulia pia imo Mimi utopolo Lia Lia hamtanipata!!

Simba hamdaiwi Tena goli tatu za Jana kaka zenu Yanga tumelipa!
 
Hebu tuondolee upuuzi wako hapa.
Sisi mashabiki wa soccer hapa Tanzania, leo tunasheherekea uhuru ulio letwa na wananchi, baada ya jana Kubwa jinga kulitia aibu Taifa letu.
 
Shida ya mashabiki wa mikia litimu lao likifungwa tu wanatafutiwa sababu amkeni nyie vichwa maji wenzenu wanapiga mpunga tu
 
Yanga akishinda kahonga

Sasa mmeongezea nyie mnahongwa tena ndo muingie kinyumenyume kwa mwarabu [emoji1787]
 
hivi wewe raja ni ya kuwahonga simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…