Hongereni mlioihujumu Simba jana, fanyeni hivyo na Azam pia Jumanne

Kwahyo yale magoli yaliyofungwa na Raja yamefungwa na watu wasiomtaka Mangungu?
 
Walivuna walichopanda
 
Aliyewadanganya ushindi wa mechi nikutoa hamasa za kuujaza uwanja na kuacha kuboresha kikosi ndio mchawi mkubwa kwenu😅😅
 
we kwa akili yako simba walihujumiwa pale? kama kulikuwa na hujuma simba ingefungwa hata 5 mkuu. washauri simba wajipange
 
Kocha wa Raja kasema Simba haitishi,haina wachezaji wa maana.
Hilo nalo mkalitazame.
 
Tuache ngonjera, tuna team mbovu mno msimu huu + maamuzi ya kipumbavu ya kuajiri kocha mpya katikati ya msimu.
 
Tuache ngonjera, tuna team mbovu mno msimu huu + maamuzi ya kipumbavu ya kuajiri kocha mpya katikati ya msimu.
Kocha aliyeiingiza timu makundi mwingine, na anayetakiwa kuitoa makundi kwenda robo fainali mwingine halafu mnataka kutoboa. Ahaa wapi. Hata nafasi ya pili Simba iliopo kwenye ligi ni kwa bahati tu
 
Haha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa. Thimba guvu moya Mudy.
 
hamchokagi kutafuta pa kujificha? Kubalini kushindwa ndio ushindani
 
U
Una uhakika 🤔,kama ndicho wahi takukuru chap kwa haraka,au basi kama huwezi peleka malalamiko cuf🏃
 
Ukiwa na mawazo ya kutokubali kushindwa utapata tabu sana kwenye hii dunia na pengine kuendelea Kufeli kwani hutajirekebisha
Kuna timu kubwa kabisa za Ulaya zinafungwa na vitimu vya kawaida na karibia kushuka daraja sembuse Simba? Hembu kuweni basi wanamichezo na sio wapiga majungu!
 
Ndoighe Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alaf huyu jamaa hamjamuelewa. Wanaposema "hujuma" wanamaanisha kuna mtu katoa siri kwa wapinzani wao kuhusu uchawi wao na kutibuliwa. Mantiki iko hapo.
 
Unaanza kujihami ili mkikalia kwa Azam mje na majibu yenu sio.[emoji1]
 
Sawadogo, Bocco, kibu nk hatutoboi kwa wachezaji wa aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…