Hongereni mliokula njama za kuihujumu Simba leo, lakini mjue Mangungu hatoachia timu asilani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
 
Tumefungwa kihalali.

Mara ngapi tunalalamikia pira bovu la kocha?, leo tumeoneshwa matobo hivyo kikubwa ni kuacha propaganda zisizoisaidia timu.

Tumesajili mafaza wa kula pension unategemea waweze kukimbizana na vijana dakika 90?.

Kocha kila siku anawapanga walewale akina Kapombe, Zimbwe, Saido et al wakati una vijana kama akina Duchu, Mwenda et al ambao wanaweza kukimbiza dakika 90 maana hawajachoka.

Kila mechi Simba inaruhusu magoli, ulitegemea muujiza gani hapo?, acheni propaganda zenu.

Mlileta akina Manzoki wa mapambo kwenye kampeni zenu badala ya kusajili vyuma kwa vitendo.

"Mtakula mlikopeleka mboga"
 
Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.

Yanga ilivyofungwa baada ya kuhujumiwa, uliwai kusema simba ni mtoto mdogo?
 
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
IMG-20231105-WA0008.jpg
 
Simba sio ya kufungwa tano?

hao waliocharazwa leo ni makondoo?
 
Mzee, ndo unajipa moyo kisenge hivyo...?
Kubali umefungwa tu tena kihalali,, tena kitu cha kushukuru niIle penalty ya kipindi cha kwanza ya Yanga refa kakataa then mmekoswa goli tatu za wazi,, Leo mlikuwa mnaliwa 9...
Hivi Unadhani Yanga kuingia kwenye kinyang'anyanyiro cha The best club in Africa ni kazi rahisi,,? Mbona nyie hamkuingia..?
 
Back
Top Bottom