Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwamba hawastahili kufungwa ila yanga ndio inastahili. Mpira ni mbinu na muda.Mbona hata kwenye EPL timu zinapigwa hadi magoli 8, 9 lkn hayasemwi haya yote. Watanzania bogus sana.
Sasa ni muda wa yanga wakubali tu kuwa Yanga opo juu.
Sisi miaka 3 iliopita tilikubali kuwa Simba ipo juu.
Uzuri kuna washabiki wa Simba walishaliekewa somo. Wanaujua mziki wa Yanga .
Walidhani kuondoka Mayele Yanga ndio kushne, watasubiri sana waendelee kulia lia.