Hongereni mliokula njama za kuihujumu Simba leo, lakini mjue Mangungu hatoachia timu asilani

Mbona hata kwenye EPL timu zinapigwa hadi magoli 8, 9 lkn hayasemwi haya yote. Watanzania bogus sana.
Kwamba hawastahili kufungwa ila yanga ndio inastahili. Mpira ni mbinu na muda.
Sasa ni muda wa yanga wakubali tu kuwa Yanga opo juu.
Sisi miaka 3 iliopita tilikubali kuwa Simba ipo juu.
Uzuri kuna washabiki wa Simba walishaliekewa somo. Wanaujua mziki wa Yanga .
Walidhani kuondoka Mayele Yanga ndio kushne, watasubiri sana waendelee kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…