Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
Ni kweli shemeji lakini chances za Yanga na Simba kuteleza ili wao wachukue ni ndogo sana.Mmh. Ila ligi bado Shemeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli shemeji lakini chances za Yanga na Simba kuteleza ili wao wachukue ni ndogo sana.Mmh. Ila ligi bado Shemeji?
sikweli mkuu uwekezaji wa mtibwa sugar ndio hauendani na mafanikio yao, jaribu kufuatilia wale Jamaa karibia vilabu vyote bongo vinatumia wachezaji waliokuzwa toka mtibwa, angalia hata timu za taifa za vijana asilimia kubwa wachezaji hutoka manungu turiani, lakin unapofika kwenye mafanikio yao hayaendani na uwekezaji wao kule mashambani, ukienda manungu kuna wachezaji zaidi ya 60 wanakichafua tu na wameridhika na maisha ya kuleUwekezaji wa Azam hauendani Na Mafanikio Yao!
Wanahitaji kuongeza umakini kidogo.Ikitokea wakakutana na Yanga fainali(kama wataifunga Stand na Yanga wakaifunga Singida), wasitie staili ya kupaki basi.Itawagharimu.Mtibwa wako vizuri na si ajabu akachukua hili kombe endapo yanga wakiteleza leo..Kwenye soka lolote laweza kutokea.
Ni kweli.Azam nao waliamini watawatoa Mtibwa hata kwenye matuta.Nimecheki marudio jana,ilikuwa game poa sana mpira mzuri
Kuponi za kupanga droo ya mechi mkuu ndo huamua.Hyo laaana ya kuipangia yanga karibu game zote yeye ni mgeni tu
Funguka kwanza mkuu huenda tutawasaidia kujisafisha.Tatizo la Azam lipo palepale...#UDINI#
Pole Hajar...Nakuombeeni muwafunge Singida.Wale ni marafiki zenu kweikwei...!Mmh. Kwa hiyo na sie leo tukidoda kesho Singida nao sifa itawahusu. Lol
Haya bwana. Hongera kwa Ntibwa.
Umeonaeeee...wakomae nao tu.Kombe lenu hili mtani maana azam kidogo ndio angewaletea changamoto waliobaki wote mnawafunga.....
Mtashinda INSHAALLAH.Hahahaa. Game ya leo ikipita salama basi nitakuwa na asilimia nyingi kuamini hivyo mtani.
Si unajua tena mpira hautabiriki huu.
Watoto wa MH.MN...anasema yeyote atakayeshinda hakuna atakachopoteza.Amini hivyo mtani singida sasa hivi hawaeleweki kabisa....
So na uhakika mtawafunga si chini ya goli 3.....
Kabisa...Azam wamekufa.Kwishnei.Sio kuzima tu kuzima ndoto za Azam FC kwenda nusu fainali bali kuzika kabisa ndoto zao za kushiriki mashindano ya Kimataifa.
Huku umeme washauchukua.Simu itahusika.Hahaaa. Wacha niamini hivyo Mtani. Ila usikose saa kumi.
Huoooooo....now wamerudisha.Kitu mubasharaaaa.Hahaaa. Wacha niamini hivyo Mtani. Ila usikose saa kumi.
Yanga hawana shukrani,hapo wanaona kama unawazuga tu.Nisipokuwa nimetoka nitakuwa kwa kideo kuwatazama mkiwafungisha virago singida mtani....
Kila la kheriii mtani....
Jiandaeni kisaikolojia...mzungu yule anaweza kubadilisha matokeo.Sawa Mtani. Pamoja sana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hawana chao kule.Kombe la ligi kuu si bado lipo Shemeji au ndio mmewatoa kabisa katika kinyang'anyiro?
Wajiandae mwakani tena.Hawawezi kuchukua, tushawatoa kwenye ubingwa.
Biashara asubuhi jioni...!Mmh. Ila ligi bado Shemeji?
Ha safi sanaNi kweli shemeji lakini chances za Yanga na Simba kuteleza ili wao wachukue ni ndogo sana.
Sasa hapo Mtibwa hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa wametumia resource zao ambazo kabla hawajazifaidi,tayari Simba na Yanga zinaenda kufaidika nazo.Hivyo, wanaendelea tena kutengeneza timu.sikweli mkuu uwekezaji wa mtibwa sugar ndio hauendani na mafanikio yao, jaribu kufuatilia wale Jamaa karibia vilabu vyote bongo vinatumia wachezaji waliokuzwa toka mtibwa, angalia hata timu za taifa za vijana asilimia kubwa wachezaji hutoka manungu turiani, lakin unapofika kwenye mafanikio yao hayaendani na uwekezaji wao kule mashambani, ukienda manungu kuna wachezaji zaidi ya 60 wanakichafua tu na wameridhika na maisha ya kule