Hongereni RFA kurejea kwa matangazo

Hongereni RFA kurejea kwa matangazo

Endelea Kusikiliza Huwa Hawapo Hewani, Tunachozungumzia Kukatika Ghafla Kwa Matangazo
Takribani siku 14 hakukuwa na WATANGAZAJI Wala vipindi havikuwepo ilikuwa ukifungulia unakutana na mziki pekee WATANGAZAJI hawaakiki.
 
Naipenda hii Radio maana nakumbuka mbali sana kipindi hicho inawatangazaji hawa.

Fred war
Sauda Mwilima
Zuberi Msabaa
Deokaji Makomba
Juma Ahmed Baragaza
Felister Kunigela
Erica Elias
Mtani Wambura
Rahabu Ufungo
Glory Mtoto wa mama Sabuni
Baruani Mhuza
Rebecca Molesi
 
Naipenda hii Radio maana nakumbuka mbali sana kipindi hicho inawatangazaji hawa.

Fred war
Sauda Mwilima
Zuberi Msabaa...
Bila kuwasahau akina Yahaya Mohamed, Beatrice George, Ivona Kamuntu na mumewe, ulikuwa ukija Kiss FM ndo usipime walikuwapo akina dada Bella, Steve Kabuye (The President), DJ Maaliz nk. Hakika RFA na Kiss FM ni Chuo cha Watangazaji
 
Bila kuwasahau akina Mohamed Mohamed, Beatrice George, Ivona Kamuntu na mumewe, ulikuwa ukija Kiss FM ndo usipime walikuwapo akina dada Bella, Steve Kabuye (The President), DJ Maaliz nk. Hakika RFA na Kiss FM ni Chuo cha Watangazaji
Na ndio hao walienda kufanya vizuri hata kwenye radio zingine na Tv pia
 
Back
Top Bottom