Hongereni sana, Diamond and Zari

Hongereni sana, Diamond and Zari

Kabisa mkuu.Binafsi namkubali sana el nino pamoja na tofauti zetu hizi za UKiba na UDiamond bado tumebakia kua marafiki wazuri tu.
Ikitokea mada kati ya hao wawili tunachapana kwelikweli ila baada ya hapo tunajumuika fresh kwenye mambo mengine.
Pia Ruttashobolwa kidooogo maana hatujawahi kuchapana live u know...lol

Teh Teh uknw nifah habari yako......
 
Last edited by a moderator:
hivi ume elewa maana ya hiyo post yake?

alicho fanya ni sapraizi kafunga ndoa bila kutangaza ili kuepuka vurugu za paparazi na visokolokwinyokolo km team wema that is what he ment with his words "sometimes privacy has more blessings"

Pwanya road wameshachanganyikiwa wanasema ni shooting.Dougie mchawi anashupalia
 
Hii ndoa imefungwa kwa dini gani sheria za kiisla huwezi kufunga ndoa mtu akiwa mjamzito hata talaka haiswihi hata mume akifa hukai eda msitake kutudanganya labda afunge kanisani au kwa mkuu wa wilaya kiislam big no
 
kutoka kwa mtu wa karibu ya domo kasema iyo sio ndoa eti ni projekit....ndoa tungoje.Aaargh
 
I hope this is a movie, video shoot au a prank. Cause kama ni kweli aise dangote umeniangusha, she is beautiful yes but trust me that woman is so smart, atakudrain financially. Kama mkizaa mtoto, hivi inamaana zari atahamia dar? Au atakaa na mtoto we unaenda mcheki UG. Pili diamond uko cjui 26, I doubt kama huyo ndio umefika. Hvi umewaza wat will happen kama mka separate, akapewa custody ya mtoto, kila mwezi utoe 2000$ za child support.
 
Umesahau kuwa wapo kwenye projekti?

Halafu we ukijaribu nguo huwa unapiga picha na kuweka instagramu?

Nilitaka kujua Maana hawa wasanii wana mambo mengi sana...
Kama kweli amaeoa sina uhakika kama ni maamuzi sahihi
 
Hivi udaku special na jf ni mtu mmoja au yaan kila nachokikuta jf na udaku blog nakikuta kama kilivyo ?ni ndugu
 
possible hii sio ndoa coz walikuwa wakipiga picha somewhere two days back
 
Hivi udaku special na jf ni mtu mmoja au yaan kila nachokikuta jf na udaku blog nakikuta kama kilivyo ?ni ndugu

Huyo jamaa ana kopi story za jf na kuziweka kwenye blog yake tena bila kuonesha chanzo..
 
Amemaanisha kuwa ilikuwa siri....jamani kweli limombo ligumu.

Na kweli ilikuwa maana wadaku woteeeeee wanajifanyaga wadaku hawakunusa big up kwa family and friends kwa waliyoyafanya nao.
 
sasa waanze kurusha mapicha ya ukweliiii kwenye magazines walipwe mkwanja mzuri.
 
alafu we domooooooo......
kesho tu hiyooo
 
Back
Top Bottom