Kabisa mkuu.Binafsi namkubali sana el nino pamoja na tofauti zetu hizi za UKiba na UDiamond bado tumebakia kua marafiki wazuri tu.
Ikitokea mada kati ya hao wawili tunachapana kwelikweli ila baada ya hapo tunajumuika fresh kwenye mambo mengine.
Pia Ruttashobolwa kidooogo maana hatujawahi kuchapana live u know...lol
hivi ume elewa maana ya hiyo post yake?
alicho fanya ni sapraizi kafunga ndoa bila kutangaza ili kuepuka vurugu za paparazi na visokolokwinyokolo km team wema that is what he ment with his words "sometimes privacy has more blessings"
Wakuu kama kuna mwenye updates za live show ya king kiba pale dar live atujuze hapa
Pwanya road wameshachanganyikiwa wanasema ni shooting.Dougie mchawi anashupalia
Umesahau kuwa wapo kwenye projekti?
Halafu we ukijaribu nguo huwa unapiga picha na kuweka instagramu?
kutoka kwa mtu wa karibu ya domo kasema iyo sio ndoa eti ni projekit....ndoa tungoje.Aaargh
Hivi udaku special na jf ni mtu mmoja au yaan kila nachokikuta jf na udaku blog nakikuta kama kilivyo ?ni ndugu
Hii ndoa imefungwa kwa dini gani sheria za kiisla huwezi kufunga ndoa mtu akiwa mjamzito hata talaka haiswihi hata mume akifa hukai eda msitake kutudanganya labda afunge kanisani au kwa mkuu wa wilaya kiislam big no
Dai naye sasa hapo si amepoteza maana nzima ya privacy! Kweli mtoto wa tandale hawezi kuficha siri.By the way pole yake Wema sepetu.