Hongereni sana, Diamond and Zari

Hongereni sana, Diamond and Zari

MAskini wema kakonda miguu kama bamia, dah diamond atamuua mtoto wa watu mwaka huu

hahahahahaaaa, hivi binamu ni section gani kwenye mwili yenye kazi ya kukondesha? hivi kwanini inakondesha miguu na kuacha zile hips zenye mabonde mabonde?? unajua zile hips zingepungua kidogo zingekaa vizuri kidogo??
 
11173407_619497388150812_66806835746005548_n.jpg
 
Binafsi siko team kiba wala team diamond.pia sio fan wao wala wa muziki wao.

Ila kusema ukweli. Diamond ni bora kuliko Kiba. Diamond amejituma xana, na amefanya kitu ambacho kiba hajakifikia.

Kiba ni kama msanii mwenye kutaka kunufaika kilaini na Makosa ama madhaifu kadhaa ya diamond.
Ni makosa kuwalinganisha hawa wasanii labda kwenye matukio kadhaa na show kadhaa walozowahi kufanya. Lakini sio in general comparison.
Kwani Diamond anaongoza na kafanya Makubwa sana kuliko Kiba.
Kiba anahitaji muda zaidi ili kufikia kiwango cha Diamond. Watanzania ni mashahidi wa hili. Diamond anasema anavyokosolewa ndio INA MPA hasira, na kujituma zaidi. Diamond amefanya Makubwa hapa.afrika.
 
Hey give me a break, makubwa Afrika.????????are you serious???sema kafanya labda bongo tu au kidogo east afrika......nchi nyingi za afrika hawamjui diamond ni nani zaidi ya kwamba ni madini aka vito vya thamani.msimpake mafuta kwa mgongo wa chupa huyo diamond wenu bado sana kufikia level ya kina P square hapo ndo utaongelea kuhusu afrika.

duh ukiskia ushabiki maandazi ndo huu tuzo zoooote za africa dai anazoshiriki wasema hajulikani pyeeeeeeee
 
Mkubwa
Binafsi nilikuwa si mfuatiliaji mkubwa wa haya mambo ya mziki wa bongo flavour. Lakini mziki wa diamond unakubalika sana kama anavyokubalika mwenyewe. Africa jina la Diamond Platinumz linavuma sana pengine kuliko madini ya almas yaliyoko Mwadui. Nilitokea kuhudhuria show yake nchi moja nje ya Tanzania nikaamini kuwa mnachofanya ha jamvini na kwenye mitandao mingine ya kijamii ya Tanzania inasukumwa na ushabiki pamoja na wivu tu! Ukweli unabaki pale pale!
 
hahahahahaaaa, hivi binamu ni section gani kwenye mwili yenye kazi ya kukondesha? hivi kwanini inakondesha miguu na kuacha zile hips zenye mabonde mabonde?? unajua zile hips zingepungua kidogo zingekaa vizuri kidogo??

Mkuu unaonekana kwa asses wewe ndo no 1.
 
Mkubwa
Binafsi nilikuwa si mfuatiliaji mkubwa wa haya mambo ya mziki wa bongo flavour. Lakini mziki wa diamond unakubalika sana kama anavyokubalika mwenyewe. Africa jina la Diamond Platinumz linavuma sana pengine kuliko madini ya almas yaliyoko Mwadui. Nilitokea kuhudhuria show yake nchi moja nje ya Tanzania nikaamini kuwa mnachofanya ha jamvini na kwenye mitandao mingine ya kijamii ya Tanzania inasukumwa na ushabiki pamoja na wivu tu! Ukweli unabaki pale pale!
Mkuu, labda ni mie huku nilipo south america huwa tukikaa waafrika (nchi tofauti) mwimbo kidogo unaopigwa wa Diamond ni ule aliofanya collabo na Davido, lakini tatizo wanaoupiga hao wanigeria wenyewe na waghana i mean ma west afrika hawamjui diamond, wao wanajua huo mwimbo ni wa davido tuu.
Na kwa Obama huwa nashuka mida na kujichanganya kwangu huwa ni na west africans tu na mambo ni hayo hayo, but sijui hizo sehemu zingine unazoongeleea mkuu. ndo maana nashangaa kidogo, hilo la wivu kwangu halipo labda kwa nyie huko bongo mie niko nchi za watu huo wivu utoke wapi wakati nafurahi nikisikia mtanzania anaongelewa vizuri.
 
duh ukiskia ushabiki maandazi ndo huu tuzo zoooote za africa dai anazoshiriki wasema hajulikani pyeeeeeeee
​Kupata tuzo na kujulikana ni vitu viwili tofauti...mie sio shabiki wa ubongo flava wewe dogo...mie mtu wa vitu vizito vikubwa , ubongo flava huko huko kwenu kwenye vumbi.
 
Mkuu, labda ni mie huku nilipo south america huwa tukikaa waafrika (nchi tofauti) mwimbo kidogo unaopigwa wa Diamond ni ule aliofanya collabo na Davido, lakini tatizo wanaoupiga hao wanigeria wenyewe na waghana i mean ma west afrika hawamjui diamond, wao wanajua huo mwimbo ni wa davido tuu.
Na kwa Obama huwa nashuka mida na kujichanganya kwangu huwa ni na west africans tu na mambo ni hayo hayo, but sijui hizo sehemu zingine unazoongeleea mkuu. ndo maana nashangaa kidogo, hilo la wivu kwangu halipo labda kwa nyie huko bongo mie niko nchi za watu huo wivu utoke wapi wakati nafurahi nikisikia mtanzania anaongelewa vizuri.

Basi safari bado inaendelea hata huko atafika.
Believe me he is now a superstar!
 
Mkuu hio safi sana, nafikiri huyo mpenzi wake wa sasa yuko vizuri, akishirikiana vizuri na meneja wake natumaini dogo atafika mbali sana na atakua kimataifa zaidi. Mie nilikua namlaumu sana kuwa na huyo dada but nimegundua "I was Wrong", Huyo dada anajua sana biashara na marketing yake kali mnoo., Tuzidi kumuombea tu dogo katika kazi zake aweze kuingia na huku kwa wenzetu pia..Inshallah!
 
Mkuu, labda ni mie huku nilipo south america huwa tukikaa waafrika (nchi tofauti) mwimbo kidogo unaopigwa wa Diamond ni ule aliofanya collabo na Davido, lakini tatizo wanaoupiga hao wanigeria wenyewe na waghana i mean ma west afrika hawamjui diamond, wao wanajua huo mwimbo ni wa davido tuu.
Na kwa Obama huwa nashuka mida na kujichanganya kwangu huwa ni na west africans tu na mambo ni hayo hayo, but sijui hizo sehemu zingine unazoongeleea mkuu. ndo maana nashangaa kidogo, hilo la wivu kwangu halipo labda kwa nyie huko bongo mie niko nchi za watu huo wivu utoke wapi wakati nafurahi nikisikia mtanzania anaongelewa vizuri.

Kama uko south america usi comment mambo ya bongo maana it seems you dont have much information. Diamond africa anakubalika sana. kina P Square sasa hivi wajipange upya, diamond akiendelea na speed hii nina imani atawafikia kama sio kuwapita.
 
Kama uko south america usi comment mambo ya bongo maana it seems you dont have much information. Diamond africa anakubalika sana. kina P Square sasa hivi wajipange upya, diamond akiendelea na speed hii nina imani atawafikia kama sio kuwapita.[/QUOTE
Kwa nini nisi comment mambo ya bongo wakati ni bongo kwetu na dunia ya sasa hivi ni kijiji, unaweza ukashangaa mie napata info nyingi zaidi za bongo kuliko hata wewe ulioko huko...nguvu ya technology hio.soma nilivyomjibu huyo jamaa hapo juu utafahamu nilikua naamanisha nini kuhusu kujulikana kwa Diamond internationally not only afrika..
 
Back
Top Bottom