Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanalipwa?
Gepu kubwa kati ya 1st na 2nd.
Namuona mumeo kwa mbaali km wakilipwa utanimegeapo kamgawo[emoji16][emoji16][emoji16]
Hela ndefuWanalipwa?
Basi vizuriHela ndefu
Ukishaongoza inakuwaje?
Hamna kitu, ni sifa tu kwa mademu🙂Wanalipwa?
Yaani kuna mademu wanaohangaika na hizo no??Hamna kitu, ni sifa tu kwa mademu🙂
Kafa kifo cha mendeeeYaani kuna mademu wanaohangaika na hizo no??
Duh duh kweli aliyeturoga alikufa!!
Kwa miaka mingi humu nilikuwa naongoza kwa kuwa na mabandiko mengi kushinda wengine.
Nadhani hadi kufikia mwaka jana, kwa kipindi fulani, nilikuwa naongoza.
Lakini kwa sasa hilo taji sinalo tena.
Hakika sasa nimeanza kuzeeka na ndo maana hata nguvu na spidi ya kubandika niliyokuwa nayo hapo awali, sina tena.
Heshima mbele kwa mzee Rutashubanyuma
Jamaa nimemvulia kofia.
Huu wivu.Hamna kitu, ni sifa tu kwa mademu🙂
NN wakati wa kutundika daluga ushafika teh teh....
Hao watu kweli wanaposti aisee, maana ukiacha wewe na BAK, last time i checked ni Mzizimkavu na Asprin pekee ndio walikuwa waizidi ID ya Watu8 kwa wingi wa mabandiko...
Lakini sasa ukongwe ushapiga kambi, uvivu nao umetamalaki...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kuna mademu wanaohangaika na hizo no??
Duh duh kweli aliyeturoga alikufa!!